+255 757 613 388 tuposawaorg@gmail.com Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam
Usawa Endelevu
Changia
Mwanzo  /  Programu

Mpango wa Afya na Ustawi

Mpango wa Afya na Ustawi

Afya njema na vifaa saidizi sahihi hubadilisha maisha. Mpango huu unawaunganisha watu wenye ulemavu na huduma za afya, unahamasisha wadau kuchangia vifaa kama viti mwendo (wheelchairs), na unasaidia ustawi wa kihisia wa wahusika na familia zao.

  • Upatikanaji wa huduma za afya na rufaa
  • Vifaa saidizi kama viti mwendo
  • Elimu ya afya na kinga
  • Msaada wa kisaikolojia kwa familia

← Programu zoteSaidia kazi hii

Instagram Facebook Tupigie Barua pepe