+255 757 613 388 tuposawaorg@gmail.com Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam
Usawa Endelevu
Changia
Mwanzo  /  Programu

Programu ya Uwezeshaji wa Kiuchumi

Programu ya Uwezeshaji wa Kiuchumi

Kujitegemea kiuchumi huleta heshima na uhuru wa kuchagua. Tunawapa watu wenye ulemavu ujuzi wa vitendo na vitendea kazi vya kuanzisha na kukuza shughuli za kuingiza kipato.

  • Mafunzo ya ufundi na kazi za mikono (mfano ushonaji)
  • Elimu ya ujasiriamali na fedha
  • Msaada wa vifaa vya kuanzia
  • Kuwaunganisha washiriki na masoko na wadau

← Programu zoteSaidia kazi hii

Instagram Facebook Tupigie Barua pepe