+255 757 613 388 tuposawaorg@gmail.com Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam
Usawa Endelevu
Changia
Mwanzo  /  Habari na taarifa

Mapya kutoka Tupo Sawa.

18Okt 2026
Habari

Semina ya uwezeshaji: njia za kuinuka kiuchumi kwa watu wenye ulemavu

Tupo Sawa Organization iliendesha semina ya uwezeshaji kuhusu njia za kuinuka kiuchumi kwa watu wenye ulemavu.

Soma zaidi →
18Okt 2026
Habari

Mkurugenzi wa Tupo Sawa akutana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mkurugenzi wa Tupo Sawa Organization, Bi. Jackline Mtaita, alikutana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mazungumzo.

Soma zaidi →
18Okt 2026
Habari

Tupo Sawa Organization yatembelea MOI, Dar es Salaam

Timu ya Tupo Sawa Organization ilitembelea Taasisi ya Mifupa MOI jijini Dar es Salaam.

Soma zaidi →
16Apr 2026
Habari

Sanaa ya Tupo Sawa

Tupo Sawa Organization inatumia sanaa kuhamasisha jamii kuhusu haki na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu.

Soma zaidi →
05Mac 2026
Habari

Vyerehani kwa ajili ya kuanza mafunzo ya kazi za mikono kwa wenye ulemavu

Tupo Sawa imepokea vyerehani vitakavyotumika kuanzisha mafunzo ya ushonaji na kazi za mikono kwa watu wenye ulemavu.

Soma zaidi →
Tupo Sawa yamkabidhi Bi. Mwanaidi kiti mwendo cha umeme 26Feb 2026
Habari

Tupo Sawa yamkabidhi Bi. Mwanaidi kiti mwendo cha umeme

Tupo Sawa Organization imemkabidhi kiti mwendo cha umeme Bi. Mwanaidi, mkazi wa Dar es Salaam anayeishi na changamoto ya uti wa mgongo.

Soma zaidi →
Meza ya Upendo: Kuunganisha Jamii Kupitia Ujumuishwaji, Kujifunza na Huruma 14Feb 2026
Habari

Meza ya Upendo: Kuunganisha Jamii Kupitia Ujumuishwaji, Kujifunza na Huruma

Watu wenye ulemavu, mama wa watoto wenye ulemavu, watoto yatima na viongozi wa serikali walikutana kwa siku ya umoja, kujifunza na upendo.

Soma zaidi →
Instagram Facebook Tupigie Barua pepe