+255 757 613 388 tuposawaorg@gmail.com Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam
Usawa Endelevu
Changia
Mwanzo  /  05 Mac 2026

Vyerehani kwa ajili ya kuanza mafunzo ya kazi za mikono kwa wenye ulemavu

05 Machi 2026

Kupitia Economic Empowerment Program, Tupo Sawa Organization imepokea vyerehani vitakavyotumika kuanzisha mafunzo ya ushonaji na kazi za mikono kwa watu wenye ulemavu.

Mafunzo haya yatawapa washiriki ujuzi wa vitendo utakaowawezesha kujiajiri, kuongeza kipato na kujitegemea.

Tunawashukuru wote waliofanikisha hatua hii muhimu.

← Habari zoteSaidia kazi hii

Instagram Facebook Tupigie Barua pepe