Tupo Sawa Organization iliendesha semina ya uwezeshaji iliyolenga kuwapa watu wenye ulemavu mbinu na njia za kuinuka kiuchumi.
Washiriki walijifunza kuhusu ujasiriamali, utunzaji wa fedha na fursa za kujiajiri, sambamba na kubadilishana uzoefu.
Semina hii ni sehemu ya Economic Empowerment Program ya Tupo Sawa.
