Mkurugenzi wa Tupo Sawa Organization, Bi. Jackline Mtaita, alikutana na Mheshimiwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari katika mazungumzo yenye lengo la kuimarisha ushirikiano katika kuwahudumia watu wenye ulemavu.
Tupo Sawa inaendelea kushirikiana na Serikali na wadau mbalimbali kuhakikisha watu wenye ulemavu wanapata fursa sawa.
