+255 757 613 388 tuposawaorg@gmail.com Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam
Usawa Endelevu
Changia
Mwanzo  /  26 Feb 2026

Tupo Sawa yamkabidhi Bi. Mwanaidi kiti mwendo cha umeme

Tupo Sawa yamkabidhi Bi. Mwanaidi kiti mwendo cha umeme
26 Februari 2026

Tupo Sawa Organization imefanikiwa kumkabidhi kiti mwendo cha umeme Bi. Mwanaidi, mkazi wa Mkoa wa Dar es Salaam anayeishi na changamoto ya uti wa mgongo.

Kiti hiki kinampa uhuru zaidi wa kutembea katika jamii yake, kufikia huduma muhimu na kushiriki katika maisha ya kijamii na kiuchumi.

Tunamshukuru kwa dhati mfadhili aliyewezesha jambo hili kupitia Tupo Sawa, na tunawakaribisha wadau zaidi kuungana nasi kuwapatia watu wenye ulemavu vifaa saidizi wanavyohitaji.

← Habari zoteSaidia kazi hii

Instagram Facebook Tupigie Barua pepe